MRADI WA DUKA LA MBOLEA NA VIUATILIFU
-
Mradi huu ni kuuza mbolea za ruzuku pamoja na viuatilifu(madawa)
-
KYECU LTD imeamua kumrahisishia mkulima upatikanaji wa mbolea za ruzuku pamoja na viuatilifu
-
Duka linapatikana maeneo ya Kyela mjini katika eneo la KYECU LTD jirani na hospitali ya Kyela-MBEYA
-
Mbolea inauzwa kwa bei ya Sh. 76,000/= Mkulima anatakiwa kuja dukani na namba ya ruzuku kuna(YARA VITA na YARA AMIDAS).
-
Pia tunauza Viuatilifu kwa bei nafuu sana
mfano:- Round Up
- RILO
- Parae force
- Ground force
- Agri force